![Boyfriend Wa Dar](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/2C/AC/rBEeqFvyTMyAH566AAErZK0S7J4502.jpg)
Boyfriend Wa Dar
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Sio wangu mimi bali wa Dar es salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae
Yaani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es salaama nzima
Nawaambia kwani nimekutana nae
Kwa ahadi nyingi muda nikamuazima
Anapenda wengi huyo penzi langu kalizima
Si wa kumlilia eti
Anatia aibu huyo jamani
Tena kuna na mshkaji wangu wa Mbezi
see lyrics >>Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Boyfriend Wa Dar MP3 song. Boyfriend Wa Dar song from album Boyfriend Wa Dar is released in 2018. The duration of song is 00:03:48. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Boyfriend Wa Dar, Boyfriend Wa Dar song, Boyfriend Wa Dar MP3 song, Boyfriend Wa Dar MP3, download Boyfriend Wa Dar song, Boyfriend Wa Dar song, Boyfriend Wa Dar Boyfriend Wa Dar song, Boyfriend Wa Dar song by Lady Jaydee, Boyfriend Wa Dar song download, download Boyfriend Wa Dar MP3 song
Comments (23)
New Comments(23)
Pacxy8t1h
Hanna John
yani kila kpna km anatembea uchi[0x1f602]
Deleted User
hahahahha
116239919
imefika kunako stahili
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Nicholaue Mzehe
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Chillah Thomas
Yaasss!!!... Jay dee... This is
Hamis Samwel
nc
Kihanda 255
Jamani mbona wanaume wa Dar Tunalaumiwa sana. Nani katuroga[0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Anord Petty
nice
emmanuelb1oms
point ya huu wimbi sijaielelewa
Vitus zachaar'e
kãlī sana
Scholawills
Nice one
It's very sad, I can't imagine putting the lyrics into reality.