
Mbayuwayu
- Genre:Others
- Year of Release:2025
Lyrics
Mmmmh..Bizzy made it
Ye eye ye eye ye eyee ye ee yeye Jefriez
We mbayuwayu nakutuma upeleke hizi salamuu Mana nishamtumaga njiwa jibu sikupata Natumaini round hii labla atanisikia lasivyo Ntakuwa tahira kama nikimkosa
Haya mapenzi sio wa kwanza mimi Kuyang'ang'ania kipenda roho ula nyama mbichi Tulishaga ambiwa mwambie mimi niko tahabani Hali sina waleo wa kesho mi kuishi bila yeye Sidhani sijiwezii oooh kamwambie mbayu mi Kwake sijiwezi na homa ya mapenzi ye ndo dakitari
Siiihitaji mwengineee siiimtaki mwengineee
Siiihitaji mwengineee siiimtaki mwengineee
Mmmmh ooo ooh ooh iiiiih iiih mmmh
Moyoni ameshakaa anapendezaga hata akinuna Ye ananifaa vyote nitaacha nikimpata ye muna iiiih
see lyrics >>Similar Songs
More from Jefriez
Listen to Jefriez Mbayuwayu MP3 song. Mbayuwayu song from album Mbayuwayu is released in 2025. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by Jefriez.
Related Tags: Mbayuwayu, Mbayuwayu song, Mbayuwayu MP3 song, Mbayuwayu MP3, download Mbayuwayu song, Mbayuwayu song, Mbayuwayu Mbayuwayu song, Mbayuwayu song by Jefriez, Mbayuwayu song download, download Mbayuwayu MP3 song