Turudiane
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
Turudiane - Jay Melody
...
oo na na na na anaitwa Jay huyu Jay, Jay ones again..Nilikukosea, naomba unisamehe,shajionea kwamba sina lolote bila wewe siwezi endelea.. naomba tuendelee yalikua matamu mapenzi yetu yalikua suuper..Ex dua gani uliyoisoma?ah kama ndio cha moto nimekiona aki siwezi kujifanya niko sawa kumbe inachoma inaumiza nimeshindwa kukaza. Mwenzako nataka!!turudiane,mwenzio nataka!turudiane,mwenzako nataka!turudiane,mwenzio nataka!turudiane...ones again.........uuuh oo na na na na oohoh we ,Saa sita saa saba usiku nitakupigia nakitu, nawe pokea japo tu, nikuongeleshe ka kitu,uko nje kila mtu wa mtu nishakua single masiku basi nielewe kiduchu tumalize hili bifu.Nimeshindwa! ku move oni,nimeshindwa !ku move oni,hata siwezi ku move oni,wanawezaje kumove oni..Ex dua gani uliyoisoma ah kama ndio cha moto nimekiona aki siwezi kujifanya niko sawa kumbe inachoma inaumiza nimeshindwa kukaza.Mwenzako nataka!turudiane,mwenzio nataka!turudiane, mwenzako nataka!turudiane,mwenzio nataka turudiane.....Ones again
Similar Songs
More from Jay Melody
Listen to Jay Melody Turudiane MP3 song. Turudiane song from album Turudiane is released in 2025. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Jay Melody.
Related Tags: Turudiane, Turudiane song, Turudiane MP3 song, Turudiane MP3, download Turudiane song, Turudiane song, Turudiane Turudiane song, Turudiane song by Jay Melody, Turudiane song download, download Turudiane MP3 song
Comments (44)
New Comments(44)
Philipz Olearapz
vick Joshua
jaman
Zawady Lenady
nomaaa san
Neema Nasoro
nahisiiii kuliaaa
Neema Nasoro
oi
ebiebram
[0x1f625][0x1f625][0x1f625][0x1f625][0x1f625][0x1f625]
ebiebram
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
CherediJoshua
wire[0x1f608] fire[0x1f63f][0x1f63f] big tune Jay
official shaky
mhh
official shaky
yan kama umeniimbia mim jaman
messages saidi
niceee song
x dua gani umeisoma ....nice melodie jay once gani❤️❤️❤️❤️❤️