![Uinuliwe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/1E/45/rBEehluhHFeAHDkaAADze6Q5kaU507.jpg)
Uinuliwe
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Baada ya kilio furaha sasa aah
Mafuta ya shangwe ondoa kuomboleza aah
Pahala pa dhihaka leta heshima
Majira na nyakati zote unabaki mwaminifu
Juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini
Uu mwaminifu ee Bwana, eeh Bwana,
U mwaminifu, ee Bwana.
Usiyepuuza kilio cha yeyote, wakubwa kwa wadogo
Maskini hata tajiri, sikio lako halibagui
Ukifuta makosa wala hukumbuki tena
Juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini
see lyrics >>Similar Songs
More from Emma (KE)
Listen to Emma (KE) Uinuliwe MP3 song. Uinuliwe song from album Uinuliwe is released in 2016. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by Emma (KE).
Related Tags: Uinuliwe, Uinuliwe song, Uinuliwe MP3 song, Uinuliwe MP3, download Uinuliwe song, Uinuliwe song, Uinuliwe Uinuliwe song, Uinuliwe song by Emma (KE), Uinuliwe song download, download Uinuliwe MP3 song