Nimebadilika Nini
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2002
Lyrics
tulikuw tukiishi wote nyumbani eh mimi mme nawe mke, kwakuwa wewe ni Tajiri na mimi fukara ulinidharau .Kazi zote za nyumbani nilifanya mimi kama mtumishi wa ndani ,jeuli zako kwanini sipati jibu wanadhalau. Leo unaoniko na mwingine wataka niludi haiwezekani ,kuludi kwako siwezi kamwe sitaki eh kunidhalau, Leo unaona niko na mwingine wataka niludi haiwezekani kuludi kwako oh siwezi mama sitakii kunidhalau ,Kashfa na vituko vyako sijasahau uh nimeapa kuludi kwako sitaki tenaa weeeh
hilo ndio fundisho kwa wengine watakaokuja uwape haki na heshima sawa uwachee eh kuwadhalau ×2 Mungu amekuumba amekupa utajili akekujalibu wala sio sabubu ya kunyanyasa wengine na kuwadhalau eeeh
nakwambia ukweli ujue japo masikini sitaki kunyanyasika
Similar Songs
More from Msondo Ngoma (TZ)
Listen to Msondo Ngoma (TZ) Nimebadilika Nini MP3 song. Nimebadilika Nini song from album Ajali is released in 2002. The duration of song is 00:09:55. The song is sung by Msondo Ngoma (TZ).
Related Tags: Nimebadilika Nini, Nimebadilika Nini song, Nimebadilika Nini MP3 song, Nimebadilika Nini MP3, download Nimebadilika Nini song, Nimebadilika Nini song, Ajali Nimebadilika Nini song, Nimebadilika Nini song by Msondo Ngoma (TZ), Nimebadilika Nini song download, download Nimebadilika Nini MP3 song