![Mimi Huyu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/30/e898d8f8843f4238aee84a407f6b9589H3000W3000_464_464.jpg)
Mimi Huyu
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mimi huyu na akili zangu hizi nikipenda tena labda mniroge Maaninaa!
Aaah udoo mmmmmm aaae
Ah kumbe mapenzi yanawenyewe
Bora nikae pembeni niagize nileewe
Ah mapenzi yanawenyewe moyo!
Bora niwe mtazamani tuwaachie wenyewe
Ooh mapenzi hayana tuzo me nijue
Eh huku kupendapenda me yatakuja yaniuwe
Tena siyawezi asa kwanini niumiee!
see lyrics >>Similar Songs
More from Udootz
Listen to Udootz Mimi Huyu MP3 song. Mimi Huyu song from album Mimi Huyu is released in 2024. The duration of song is 00:03:17. The song is sung by Udootz.
Related Tags: Mimi Huyu, Mimi Huyu song, Mimi Huyu MP3 song, Mimi Huyu MP3, download Mimi Huyu song, Mimi Huyu song, Mimi Huyu Mimi Huyu song, Mimi Huyu song by Udootz, Mimi Huyu song download, download Mimi Huyu MP3 song