Prisoner No More
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Prisoner No More - Betty Barongo
...
Ni kama nuru katika giza imemulika nimeona mwanga ni kama maji katika jangwa hutolewa
ndiyo ilivyokuwa kwa shida yangu walisema huwezi
ndiyo ilivyokuwa kwa jaribu langu walisema huwezi
kuna wakati nilikata tamaa kuna wakati nikikosa furaha nikajipa moyo wana wa Israel kupita bahari ya Shamu nikapata nguvu niliposoma neno lako na nisiogope nikapata moyo kwa ahadi zako ulinijua kabla ya dunia umenipa amani ya ajabuumenipa furaha ya ajabu kweli wewe Mungu ni wa ajabu
I am free
niko huru
Similar Songs
More from Betty Barongo
Listen to Betty Barongo Prisoner No More MP3 song. Prisoner No More song from album Prisoner No More is released in 2018. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by Betty Barongo.
Related Tags: Prisoner No More, Prisoner No More song, Prisoner No More MP3 song, Prisoner No More MP3, download Prisoner No More song, Prisoner No More song, Prisoner No More Prisoner No More song, Prisoner No More song by Betty Barongo, Prisoner No More song download, download Prisoner No More MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Elikanacmxfb
much blessing