Daima (Kenya Only)
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2016
Lyrics
Daima (Kenya Only) - Eric Wainaina
...
umoja ni fahari yetu
undugu ndio nguvu yetu
chuki na ukabila
hatutaki hatutaki hata kamwe
lazima tuungane tuijenge nchi yetu
pasiwe hata mmoja anayetenganisha naishi natumaini najitolea daima Kenya hakika ya bendera ii uthabiti wangu nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu kijani ni ardhi nyeupe ya amani daima mimi mkenya mwananchi mzalendo kwa uchungu na mateso
kwa vilio na huzuni tulinyakuliwa uhuru na mshujaa wa zamani hawakushtwa na risasi au kufungwa gerezani nia ya ukombozi kuvunja pingu za ukoloni naishi natumaini najitolea daima kenya hakika ya bendera ii uthabiti nyeusi ya wanachi na nyekundu ni ya damu kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani daima Mimi mkenya mwananchi mzalendo wajibu wetu ni kuishi kwa upendo kutoka ziwa mpaka pwani kazkazini na kusini
naishi natumaini najitolea daima kenya Hakika ya bendera ni uthabiti wangu nyeusi ni ya mwananchi na nyekundu ni ya damu kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani daima mmi mkenya mwananchi mzalendo
kijani ni ya ardhi nyeupe ya amani mwananchi mzalendo.
Similar Songs
More from Eric Wainaina
Listen to Eric Wainaina Daima (Kenya Only) MP3 song. Daima (Kenya Only) song from album Nchi Ya Kitu Kidogo is released in 2016. The duration of song is 00:05:15. The song is sung by Eric Wainaina.
Related Tags: Daima (Kenya Only), Daima (Kenya Only) song, Daima (Kenya Only) MP3 song, Daima (Kenya Only) MP3, download Daima (Kenya Only) song, Daima (Kenya Only) song, Nchi Ya Kitu Kidogo Daima (Kenya Only) song, Daima (Kenya Only) song by Eric Wainaina, Daima (Kenya Only) song download, download Daima (Kenya Only) MP3 song
Comments (57)
Top Comments (9)
twice
Monicah Kenya
I love Kenya >
Felobj0bo
I am bound with KENYA>
New Comments(57)
༺Lencie Mya
#rejectfinancebill2024[0x1f60d]
Anyango Doris
this should be the East African Anthem.
manhimself254
When we are happy we are happy together when we suffer we suffer together. Kenyan by birth by blood by everything. [0x1f621][0x1f623]
Frank Kagumisa
What a song this is more than national athem ,much respect from Tanzania
juliashij16
john ou
Kenya our country number one priority. We should be proud of it
135218462
[0x1f60b][0x1f60b][0x1f60b][0x1f627][0x1f627][0x1f627]my kenya my pride[0x1f642][0x1f642][0x1f642][0x1f642]
Kennedy Kiritu
[0x1f641][0x1f642][0x1f640]
mashhi9db
proud to a Kenyan
Miriam Chaohg004
2022...still playing this song..
Jean Ndiro
This should be the national anthem
ALLAN SAKIT
i love this
msmuchoki_
Kenya my motherland!!
My Kenya my pride>