![Nitakupenda](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/11/eb95b21279bd4652b68c866c7096488bH3000W3000_464_464.jpg)
Nitakupenda
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Nitakupenda vile unanipenda,Nikupe vyangu vyote ukipenda,Nataka niwe na wewe,Baba nisipotee,Usiende mbali namie,Tumaini langu niwe,Ata nikose Leo nikose,Itabaki wewe sina mwingine maishane,Umenipa uwezo nguvu mi nisikose,Nina furaha mingi moyoni
Kama ulivyo nipenda nitakupenda,Hadi mwisho,Ata waje Na vitisho vitisho
Bure umenipenda mali sijakupa,dhambi ukanisamehe,Nimetafuta kama wewe sijapata,Acha kwako n'tulie
Ata nikose leo Kesho nikose,Itabaki wewe sina mwingine maishane,Umenipa uwezo nguvu mi Ni sikose,Nina furaha mingi moyoni
Kama ulivyo nipenda nitakupenda,Hadi mwisho,Ata waje na vitisho vitisho
Similar Songs
More from James V
Listen to James V Nitakupenda MP3 song. Nitakupenda song from album Nitakupenda is released in 2024. The duration of song is 00:03:45. The song is sung by James V.
Related Tags: Nitakupenda, Nitakupenda song, Nitakupenda MP3 song, Nitakupenda MP3, download Nitakupenda song, Nitakupenda song, Nitakupenda Nitakupenda song, Nitakupenda song by James V, Nitakupenda song download, download Nitakupenda MP3 song