Unanipenda
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Uliposhuka toka juu, juu mbinguni
Kwa ajili yangu Yesu
Kwa kiburi changu sikuona zuri kwako
Sasa, nahisi ahadi zako zanichumbia
Ila sijui nirejeapo utaniitikia
You're the one am looking for
Akutafutaye hachoki kichoka kashapata
Nimetafuta kipenzi cha roho nishapata
Sitafuti tena.
Nimeonja pendo lako sasa najua
Nimegusa pindo lako am rest assured
Huu ni mwanzo tu wa more
see lyrics >>Similar Songs
More from MrB Karen
Listen to MrB Karen Unanipenda MP3 song. Unanipenda song from album Unanipenda is released in 2024. The duration of song is 00:03:48. The song is sung by MrB Karen.
Related Tags: Unanipenda, Unanipenda song, Unanipenda MP3 song, Unanipenda MP3, download Unanipenda song, Unanipenda song, Unanipenda Unanipenda song, Unanipenda song by MrB Karen, Unanipenda song download, download Unanipenda MP3 song