Siku Za Mwisho
- Genre:Light
- Year of Release:2024
Lyrics
Chorus: siku za mwisho tunaeshi kweli ni mbaya
Watu wamezoea kutenda mabaya tumurudie
Mungu tuachane na majungu x2
Verse 1 :
Siku za mwisho zimeanza kujionesha duniani na kwaiziizi siku kunaanza kuwa wakati wahatari watu wanakuwa wenye kupenda pesa wenye kujisifu oòoh oooh wenye kumuomba mungu waendeleya kuchukiwa eeeeh oooooh ooòoh
Chorus:
Siku za mwisho tunaeshi kweli ni mbaya watu wamezoea kutenda mabaya tumurudiye mungu tuachane na majungu x2
Verse 2:
Sikilizeni wanadamu na kama unampenda mungu uyu ni wakati wasiku za mwisho tutazame yale yote tuliambiwa tunaanza kuyaona nazile nguvu za ahera sasa zikotayari kujionesha apa duniani na zilezile nguvu za ahera zitaigeuza dunia kuwa paradizo paradizo unazidi kufurai na maisha yako na muda unakwisha jugment imekaribiya tuangalie wakati atutegemei sisi jugment itafika tutakuwa wapi kweli tutakuwa wapi wewe na mimi tutakuwa wapi .chorus: siku za mwisho tunaeshi kweli ni mbaya watu wamezoea kutenda mabaya tumurudie mungu tuachane na majungu x2
Similar Songs
More from tigo stone
Listen to tigo stone Siku Za Mwisho MP3 song. Siku Za Mwisho song from album Siku Za Mwisho is released in 2024. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by tigo stone.
Related Tags: Siku Za Mwisho, Siku Za Mwisho song, Siku Za Mwisho MP3 song, Siku Za Mwisho MP3, download Siku Za Mwisho song, Siku Za Mwisho song, Siku Za Mwisho Siku Za Mwisho song, Siku Za Mwisho song by tigo stone, Siku Za Mwisho song download, download Siku Za Mwisho MP3 song