![Kipenda Roho](https://source.boomplaymusic.com/group2/M14/4E/20/rBEeM14cgPeAVIIoAADmZEjOypU180.jpg)
Kipenda Roho
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Miaka million... uuuh yeah
yeeeah eei
Kukupata we niliona maajabu..,niliteseka nilipata taabu.
Kuishi mbali nawe sio jawabu..,nilimwaga chozi lenye sababu.
Sababu ni wewe myboo.,kuishi mbali nawe sio jawabu.
Niliambiwa sina hadhi (hadhi yakuwa nawe)
uwezo wakukufanya ule ulalee napoteza muda wangu tuh
Mimi na wewe ni kama ndevu na kambale rahazizii iih.
Ona wachawi wanafumba macho,hawaamini hiki waonacho
Hawaamini we wakwangu nami wakwako.
eh
see lyrics >>Similar Songs
More from Aslay
Listen to Aslay Kipenda Roho MP3 song. Kipenda Roho song from album Kipenda Roho is released in 2020. The duration of song is 00:03:54. The song is sung by Aslay.
Related Tags: Kipenda Roho, Kipenda Roho song, Kipenda Roho MP3 song, Kipenda Roho MP3, download Kipenda Roho song, Kipenda Roho song, Kipenda Roho Kipenda Roho song, Kipenda Roho song by Aslay, Kipenda Roho song download, download Kipenda Roho MP3 song
Comments (115)
Top Comments (1)
Unformatted Man
New Comments(115)
Munene MBoris
❤️❤️❤️❤️ well iivcvczc
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/09/b4ab2aa919e043409b04e768258e9e6a.jpg)
Munene MBoris
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
genovevahb1sh
aslay hii ngoma ni hatar sana na ina ujumbe mzuri(kipenda roho)
@Ngosha Tz
nakubali kaka
kislay86tww
fundi wng
Marwa Chachaufh29
makin sana
jay bony
hii ni albam au .
Liberatha Martin
❤️
king wigo
[0x1f608]
SashainThis
ke
May Mayerd2cy2
nice
Jojo Mickey Minnie
My favorite songs ❤️❤️
Kutoka dodoma tuna-enjoy xan nyimbo zako,, hujakosea kuita hii Ep 'Kipenda roho' maana hii nyimbo n hatar na nusu>