- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Hiki kinywa changu
Na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako
Ewe BWANA Mungu wangu
Yale umetenda kwangu
Sio siri, ya moyo wangu
Bali ni ushuhuda wa wazi
kwa mataifa yote
Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue
see lyrics >>Similar Songs
More from Neema Gospel Choir
Listen to Neema Gospel Choir Sitalia MP3 song. Sitalia song from album Sitalia is released in 2024. The duration of song is 00:07:29. The song is sung by Neema Gospel Choir.
Related Tags: Sitalia, Sitalia song, Sitalia MP3 song, Sitalia MP3, download Sitalia song, Sitalia song, Sitalia Sitalia song, Sitalia song by Neema Gospel Choir, Sitalia song download, download Sitalia MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
lecturee
true ney
God bless you guys
Rebecca Antony9f69d
kiukweli nabalikiwa na nyimbo zenu hakika mungu anawatumia azidi kuwapa kibali mbinguni na dunian mkiimba malaika na watakatifu wanaitikia kwa shangwe [0x1f641][0x1f641] zinafungua nyimbo mkkziimba tunapata msaada wa roho mtakatifu tunapata amani tunajengewa imani tunakua wa kitofauti ya tunakaa katika ufalme wa mbinguni ❤❤
Gaudencia...
Ameen aisee Mungu azid kuwatunza [0x1f60d]
joh kish
amen[0x1f60e][0x1f60e]
Pouldavier
Mungu azidi kuwabariki
amen mungu awape kibali cha kuishi [0x1f638][0x1f638][0x1f638] marefu