Nione
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Nione - Alawi Tz
...
..........
Omamamam........
Nyota njema huonekan asubuhi
ila mimi natamani pasikucheeee...
Mana kuna jema njia imetanda matandabui
Siamini nakosa ata mkate, nafunga bila nia man hakuna cha kuweka tumboni....
ikiwa pesa hasira basi tajir wa kwanz ningekuwa mim, Nilifundishwa (subira)×2 labda nikivuta itakuja kheri... ila bado (bila)×2 hakuna ninachopata labda sharii
Kama riziki mafungu nami langu nitapata lini au hakuna fungu langu nisubiri kwenda kaburin......
Aaaaaah nioone nioneee
Mola wangu mbona kama unanipita
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Alawi Tz Nione MP3 song. Nione song from album Nione is released in 2024. The duration of song is 00:03:04. The song is sung by Alawi Tz.
Related Tags: Nione, Nione song, Nione MP3 song, Nione MP3, download Nione song, Nione song, Nione Nione song, Nione song by Alawi Tz, Nione song download, download Nione MP3 song