Maisha yangu
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Maisha yangu - Maby
...
Maisha yangu so mazuri sanaa so mabaya sana ila naenjoy namuonba Mungu aniepushe na tamaa bado napalm Ana ila naenjoy
achakarikachakarika mmmmh kidoo mm kidoo siku mavumba nkishika staki ushauri wakoo ukinikuta naburudika plz jali mambo yakoo pindi maokoto sijashikaa ulikuaga wapi broo plan yangu zangu zikiwa kwa sasa kama kujenga ntaajenga najipanga plan zangu zikiwa kwa sasa ngoja nijenge mwili kwanza
BACK TO CHORUS
Nikiwaga napata tabu kazini unakuaga wapii sasa vipi leo kwenye pesa zangu unanipa masharti pesa yenyewe kidogo lakn ninavyo weka mikakati mnanipa na vitisho eti muone ntaishia wapii plan zangu so kiwanja kwa sasa kma kujenga ntajenga najipangaa plan zanguu so kiwanja kwa sasa ngoja nijenge mwili kwanzaa
BACK TO CHORUS
Similar Songs
More from Maby
Listen to Maby Maisha yangu MP3 song. Maisha yangu song from album Maisha yangu is released in 2024. The duration of song is 00:02:44. The song is sung by Maby.
Related Tags: Maisha yangu, Maisha yangu song, Maisha yangu MP3 song, Maisha yangu MP3, download Maisha yangu song, Maisha yangu song, Maisha yangu Maisha yangu song, Maisha yangu song by Maby, Maisha yangu song download, download Maisha yangu MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
Sifa Lyego
Geradina Dago
hatarii
Joseph Paul pius
Good song
Danny Trends
i love this song
X masterpiece
ggfcvf
:Everyone is fighting for his life, so don't wish for the life of your partner,
X masterpiece
I love this song ❤️
official_hilda
Bonge la songi mzee
Best Tz
kikubwa furaha na enjoy
Melzeda Cate
This song is lit
Idah Mbise
my favorite song of years
mickson nyamwez96
:Everyone is fighting for his life, so don't wish for the life of your partner,
mickson nyamwez96
Everyone is fighting for his life, so don't wish for the life of your partner,
[0x1f618][0x1f618][0x1f618]