![Anaitika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/16/97adeb9689ce4ca29b54e0d92cd6b2e4_464_464.png)
Anaitika
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Mwenzenu nimesumbuka na mapenzi,
Pili nimezunguka kishenzi,
Leo nimepata anaenituliza,
Anaenijibu bila kuuliza (mmmh).
Hii miti imepata mjenzi,
leo nimeamini wivu ndio mapenzi,
Kuna vitu nafanya hata sijitambui,
Hata sijui kwanini.
Leo ifikie kikomo
Kwenye mapenzi leo niwape somo,
Kuna mapenzi na kupoteza muda
Nyie mnafanya kipi huko.
see lyrics >>Similar Songs
More from Cool Music (TZ)
Listen to Cool Music (TZ) Anaitika MP3 song. Anaitika song from album Anaitika is released in 2024. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Cool Music (TZ).
Related Tags: Anaitika, Anaitika song, Anaitika MP3 song, Anaitika MP3, download Anaitika song, Anaitika song, Anaitika Anaitika song, Anaitika song by Cool Music (TZ), Anaitika song download, download Anaitika MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
lau_nego
lau_nego
My cool boy
Woow