Sijaona
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Sijaona - Amazing
...
Amazing ………
Vimbwanga vyote vya mapenzi ni vya kwangu uuuh , matusi yote unayoyajua nishatukanwa , misemo vijembe vya kila size ni vya kwangu ..oooh uhasi wote unaoujua nishafanyiwa
Nimepitia kila aina ya maumivu kama kuvumilia mimi ni bingwa wa uvumilivu mpaka nasimulia. Nina jeraha juu ya kovu donda limevilia maisha ya kutendwa nimefuzu
Ila jua utauaaa najua step za sasa unaamuru nicheze lingala mama utaua ua usiku ma movie ya kutisha mi napressure mwenzio ila jua utaua Mzigo wa misumari kwa kichwa na unajua nina kipara mama utaua ua haki wataja nizika mtoto wa mwanamke mwenzio
Kwake mi ni mlenda mi ni mlenda na anajua hilo, ubabe kwake nguvu sina analijuaa hilo ,, mlenda mi ni mlenda anajua hilo ubabe kwake nguvu sina analijua hilo
Sijaona sijaona maumivu kama haya .. sijaona sijaona.. donda limevilia sijaona sijaona ataeniumiza kama huyu sijaona sijaona ona donda limevilia ….
Similar Songs
More from Amazing
Listen to Amazing Sijaona MP3 song. Sijaona song from album Sijaona is released in 2024. The duration of song is 00:02:57. The song is sung by Amazing.
Related Tags: Sijaona, Sijaona song, Sijaona MP3 song, Sijaona MP3, download Sijaona song, Sijaona song, Sijaona Sijaona song, Sijaona song by Amazing, Sijaona song download, download Sijaona MP3 song