SAWA ft. Nicklamaar
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Ulikuwa ndoto yangu tuwe wote mungu kunitunuku zawadi penzi huwa letu halina tena siri mama wewe nita kufanya mke wangu mama ya watoto wangu vidavida tena kwangu havina maama Nafurai sitatamani kwengine wewe ndiye mume wangu chaguo la moyo na hisiya ni wee baba ya watoto wangu maneno yangu yawe pigo kama nikisema uwongo na nina omba mungu kwako nijekuwa mume bora Maneno yangu yawe fingo kama nikusema uwongo nami naomba mungu kwako nije kwa mke bora
Na haidi nita kupenda Sawa ukiumwa Niwe dowa Sawa Mbali nawe sitokwenda nakuhaidi wangu njiwa Naami pia ndakupenda Sawa nita kuheshimu baba baba Sawa nita kutunza kama money wangu njiwa
ooh take me to top ni weke kwenye moyo wako baby nanyemela wasije ninganganiya baby Hoo wee ni wangu hata nikuumwa situmii dozi ooh aaah Asingizi wangu nita kwa nawe hata kwenye njonzi Nime kupanda baby şifa nikampatiye nani Sifa nizangu baby mwengine kamwe hazi mfanani kuwa na wewe sita jutiya nime kusudiya malikiya baby tena nina kwambiya wendo wa maisha nita kuimbiya nyimbo zuri usikiye ooh yaaaa aaaah je suis fou de toi c'est mon amour
Na haidi nita kupenda Sawa ukiumwa Niwe dowa Sawa Mbali nawe sitokwenda nakuhaidi wangu njiwa Naami pia ndakupenda Sawa nita kuheshimu baba baba Sawa nita kutunza kama money wangu njiwa
Ahadi zangu ziwe pigo kama nitakuwa uwongo na nina omba mungu kwako nijekuwa mume bora Maneno yangu yawe fingo kama nikusema uwongo nami naomba mungu kwako nije kwa mke bora sawaa aah baby girl aah aah ooh ahha hooola hooola rich da Chris sodja nicklamaar bright what up is done
Similar Songs
More from rich da chris
Listen to rich da chris SAWA ft. Nicklamaar MP3 song. SAWA ft. Nicklamaar song from album SAWA is released in 2024. The duration of song is 00:04:00. The song is sung by rich da chris.
Related Tags: SAWA ft. Nicklamaar, SAWA ft. Nicklamaar song, SAWA ft. Nicklamaar MP3 song, SAWA ft. Nicklamaar MP3, download SAWA ft. Nicklamaar song, SAWA ft. Nicklamaar song, SAWA SAWA ft. Nicklamaar song, SAWA ft. Nicklamaar song by rich da chris, SAWA ft. Nicklamaar song download, download SAWA ft. Nicklamaar MP3 song