Udugu
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Udugu - Dylan tz
...
Aaaah aaaaa aaah aaah la kwangu mimi la kwakee lakwake mimi lakwangu mimi na yeye twategemeanaa kwenye raha nipo nae kwenye shida nipo nae mimi na yeye twasaidiana mkiniona popote mimi na yeye tupo wote mapacha tusiofananaa
UDUGU
Udugu wao udugu wa sambusa kaukau unakaa nao baadae wanakudharau
Udugu wangu udugu wamapana tunapendana kwenye shida na raha mimi na yeye twasaidianaa
Acheni uwanja nataka nitambe nae UDUGU ,UDUGU mimi na yeye nidamu damu UDUGU.. UDUGU nikitaka vichumvi yeye hana iyana UDUGU...UDUGU mimi yeye nidamu damu UDUGU..UDUGU
Sio tu tabia kikweli kweli tunapendana haijawai tokea akae pembeni kusengenyana aliopewa kapewa ya nini chuki kuchukianaa hayanipi shida walimwengu nawajua sanaaa
Aaah
Wabayaa walimwengu wabaya wakikuona tu wewe umepata wanaanza visirani aaah Wabaya kweli wabaya hawapendi kutuona tunaishi kwa amani
Similar Songs
More from Dylan tz
Listen to Dylan tz Udugu MP3 song. Udugu song from album Udugu is released in 2024. The duration of song is 00:03:05. The song is sung by Dylan tz.
Related Tags: Udugu, Udugu song, Udugu MP3 song, Udugu MP3, download Udugu song, Udugu song, Udugu Udugu song, Udugu song by Dylan tz, Udugu song download, download Udugu MP3 song