Romeo & Juliet
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Romeo & Juliet - habarimbaya
...
Head over heels walaii hii love ni Kama Romeo na Juliet
Me hutumia express nifike mapema ndo asiseme am too late
Am ready for your bullet marathon ka ni race trust me nimetighten shoelace
Sweet one amededia Pedi ju nimeivia adii pedicure
Ameshinda akiring kwa hedi sa hii love ni mapenzi pure
Anataka tupige malap kwa yard anadai we go for a tour
This time forsho Niko sure this time forsho ishakua
Waambie I love you to the moon and back adii Zulu wanabaki na shaka nishaput my sign Iko permanent ka ni harusi ni ndani ya temple si unajua I love you hard hii si vako za stevo sikuagi msimple me hupenda ukiput a smile on your face si unajua am in love with your dimple
Ungekua jirani wa me ningekua nimekusave ka sexy hommie
Hizi rima ukiishia am lonely nadai we cruise kwa crib ka tony
see lyrics >>Similar Songs
More from habarimbaya
Listen to habarimbaya Romeo & Juliet MP3 song. Romeo & Juliet song from album Head Over Heels is released in 2024. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by habarimbaya.
Related Tags: Romeo & Juliet, Romeo & Juliet song, Romeo & Juliet MP3 song, Romeo & Juliet MP3, download Romeo & Juliet song, Romeo & Juliet song, Head Over Heels Romeo & Juliet song, Romeo & Juliet song by habarimbaya, Romeo & Juliet song download, download Romeo & Juliet MP3 song