- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Honey Baby Honey Sijui Nikuite Jina Gani mana naona yote hayafanani na upendo Wangu kwako
Honey Baby Honey hivi ndoa yetu ni lini mana sina time na wengine nimeshafika kwako
Ninakuvumilia nawe nivumilie Ili tufike kule uzeeni kule wakitusema hivi wakitusema vile chunga mpenzi Wangu usiwasikilize
Mana wanaona wivu sana wakituona wana sema Sema sana usiku mchana mi nawe tunapendana hatuwezi achana tujikabidhi kwa Bwana milele daima
Ana kazuri kajina akicheka anapendeza sana msinionee wivu Bwana mmmh
Ah mmh I Sing for my baby I Sing for my baby ah mmh I Sing for my baby I Sing for my baby baby iiih
Wanaokutongoza waambie kabisa kwangu umeshafika wee na vihela vyao waambie kabisa kidogo chetu uhakika eeh
Na uwaambie Mpenz wako ni mimi cause my heart you are the only you own
Mana wanasema sana tutaachana
Tuspend time daily just you and me baby from when it's sunrise till sunset my boo
Ana kazuri kajina akicheka anapendeza sana msinionee wivu Bwana heee
Ah mmh I Sing for my baby I Sing for my baby Ah mmh I Sing for my baby I Sing for my baby baby iiih
see lyrics >>Similar Songs
More from Kingjawa
Listen to Kingjawa Sing MP3 song. Sing song from album Sing is released in 2024. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by Kingjawa.
Related Tags: Sing, Sing song, Sing MP3 song, Sing MP3, download Sing song, Sing song, Sing Sing song, Sing song by Kingjawa, Sing song download, download Sing MP3 song