![Uke Wenza ft. Mosi Suleiman](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6D/C8/rBEeNFq41yuAfgntAADZ3TYXUQo451.jpg)
Uke Wenza ft. Mosi Suleiman
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Uke Wenza ft. Mosi Suleiman - Hammer Q
...
mke wa awali niwewe aziza tumetoka mbali huja nichagiza....laaallaaa llaaalaaa....naomba kubali moyo kueleza naomba kubali moyo kueleza×2 naowa wapili mke naongeza ×2..mimi nakuoomba mpenzi kubalix2..
huo uke wenza hio nimuhali...naminatamka mwenzangu sikiza...siwezi hakika mimi uke wenzaa..laalaalaalaa laah
...kama una taka mke kuongeza ...unipe talaka uniache kwanza...mm nakuomba mpenzi kubali...kwa uke wenza hio nimuhali..mimi nimuoe sikuachi aziza wivu wako huo mpenzi punguza laaaaa laaaa laaaah×2..
....uke wenza ndio wenye maliwaza.hazina mwenzio atakupokeza ..mm nakuomba mpenzi kubali..×2..huo uke wenza hio nimuhalily ..nasitugombane nasitoweza natuambizane yanayo pendeza..laaalaaa laah laah×2 kuo mwengine nakukataza..nibora ujane kama uke wenza..mm nakuomba mpenzi kubali×2 nahuo uke wenza hio nimuhaliy×2...sharia tambua inatueleza nihaki kuo wanne aloweza×2..laaalaa laaalaaah laalaah. aaaaaahh.sharia tambua inatueleza nihaki kuoa wanne aloweza..laaaaalaaaah laaaaalaaahh..aaaaahh sheria tambua inatueleza nihaki kuoa wanne aloweza..laaaaalaaa laaah laaahlaaah×2 ..nami nitakua wapili ninaanza..kilo kushtua nikipi aziza...mm nakuomba mpenzi kubali.. kwa uke wenza hilo nimuhaly×2.. tosheka muhibu penda linaliza pendo lenye simu nila ukewenza...laaaaalaaaah laaaaalaaaaah×2..shtuka mihibu penzi linaliza penzi lenye sumu nila uke wenza....laaaaaaa laaaaah laaah×2..ninakulaumu hukunisikiza kwangu nivigumu lakini faanzaa×2 mm nakuomba mpenzi kubali×2 huo uke wenza kwangu nimuhaly×2 usihuzunike wangu we aziza ww ndie mke wangu niwakwanza...llaaaaalaaaa laaalaaah laaah×2 bure sishtuke kuja uke wenza×2 haki nimpike nakuzungumza...mm nakuomba mpenzi ukubali.......laaaaalaaa laaalaaa..kwangu uke wenza hilo nimuhaliy...×2 nenda kaoe wake wameja lakini isiwe ujanipuuza..laaalaaa laalaa.....nizako mwenyewe pesa teketeza haja yangu yawe yakutosheleza mm nakuomba mpenzi kubali×2 laaalaaa laaah. laaaah..nenda ukaoe potelea mbali..nnakushukuru kwakunikubaliii
Similar Songs
More from Hammer Q
Listen to Hammer Q Uke Wenza ft. Mosi Suleiman MP3 song. Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song from album Uke Wenza is released in 2017. The duration of song is 00:08:47. The song is sung by Hammer Q.
Related Tags: Uke Wenza ft. Mosi Suleiman, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman MP3 song, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman MP3, download Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song, Uke Wenza Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song by Hammer Q, Uke Wenza ft. Mosi Suleiman song download, download Uke Wenza ft. Mosi Suleiman MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Husna Abdul
Jaman nimeutafuta sana huu wimbo atimae nimeupata