![Tutaonana Tena](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/8D/rBEeMVqmXnCALVA_AADuvN9sQFw693.jpg)
Tutaonana Tena
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Tutaonana Tena - Reuben Kigame
...
bwana amwitapoo mpendwa katika kristo machozi hayaishii kutiririka hakuna maliwazo yakutosha roho zetu ila ahadi yake bwana wetuuu tutaonana tenaa tutaonana tena yesu ashukapo mawinguni kutunyakua msihuzunike kama wasio na tumainii neno latuhakikishia tutaonana tena kufumba na kufumbua baragumu iliapoo tutabadilishwa miili yetuu heri walalao katika kristo yesu kazi na matendo yao wafuata tutaonana tenaa tutaonana tena yesu ashukapo mawinguni kutunyakuaa msihuzunike kama wasio na tumaini neno latuhakikishia tutaonana tenaa tutaonana tenaaa tutaonana tenaa yesu ashukapo mawinguni kutunyakua msihuzunike kama wasio na tumaini neno latuhakikishia tutaonana tena neno latuhakikishia tutaonana tenaa
# big bro thomas..rest in ease you are forever in our hearts
Similar Songs
More from Reuben Kigame
Listen to Reuben Kigame Tutaonana Tena MP3 song. Tutaonana Tena song from album Tulia is released in 2013. The duration of song is 00:05:52. The song is sung by Reuben Kigame.
Related Tags: Tutaonana Tena, Tutaonana Tena song, Tutaonana Tena MP3 song, Tutaonana Tena MP3, download Tutaonana Tena song, Tutaonana Tena song, Tulia Tutaonana Tena song, Tutaonana Tena song by Reuben Kigame, Tutaonana Tena song download, download Tutaonana Tena MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Hk osborn
leonidahajicholela
nkisikiliza wimbo huu namkumbuka kaka angu mpendwa .nmekumc san kaka angu kipenz
Robertha Wolle
naupenda huu
aris gbvtr
the lyrics i wrote in honor of my big bro thomas kahise [0x1f63d] RIP
FREDRICK TARIMOdzqx3
yes like all gosplel
keneman
i really like all the gospel hits by reuben kigame
I miss you father i wish ungekuwepo unione na mm nikizeeka piabt Mungu utabaki kuwa Mungu