- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Good Bye - Barakah The Prince
...
Kumbukumbu zako michosho nilivyosulubika na penzi lako kwaiyo umeshakufa ganzi tena kiapo juh yako uwezi amini nilikula mini ila ukuthamini nilikupa doh show by show au labda sikukuridhisha ndo shida yngu mengi ungesema labda ningelekebisha uwah naumia roho babe hizo pesa ulizo nipukutisha zaid ya ilo nimengi tu ila ukufurahishwa mwisho kusema tu good bye.bye bye bye bye X2. verse 2 mjinga mbio nilikimbia sakafuni pasina kujua kama wew ndio yule ukingoniii tangu nimekujua nikagundua ni bora sabuniii naogopa maradhii penzi lako tu mda wote wanalichuma moyo uitaji ng’ooo na sasa nipo looooh uliniweka utumwani kisa loko penzi oooh penz ooh siziwezi mbio najipa likizooooh me natoka kizani kwa aya mapenzi siweziiii nilikupa doh show bye show au lbd sikukulizisha ndo shida yngu mengi ungesema lbd tungelekebisha uwa naumia roho pesa ulizo nipukutisha zaid ya ilo nimengi tu ila ukufurahishwa mwisho kusema good bye bye bye
Similar Songs
More from Barakah The Prince
Listen to Barakah The Prince Good Bye MP3 song. Good Bye song from album Good Bye is released in 2023. The duration of song is 00:03:17. The song is sung by Barakah The Prince.
Related Tags: Good Bye, Good Bye song, Good Bye MP3 song, Good Bye MP3, download Good Bye song, Good Bye song, Good Bye Good Bye song, Good Bye song by Barakah The Prince, Good Bye song download, download Good Bye MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
George Gunze
Wmscott waldo
the vocal master is back [0x1f612][0x1f628]
Mr MANANDO2ccxc
king[0x1f617]
Issa hamissi Issa hamissi
hivi broo unajuwa ww ni msanii mzur na nimkubwa ila naonaga kama haupo silyaz sana na muziki
Imma the bway
back again mr bro so nice
Deleted User
welcome back vocals master Barakah The Prince,. ngoma kali kinoma
brother dah unajua sana uwe na muendelezo bana unajua kabisaaa