
Ameniona
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Moyo wangu umejawa na furaha
mikosi balaa sina niko imara
Yesu kaniponya yote majeraha
kanijaza tele uzima si masihara
Angekuwa mtu angezima data sijui ningekuwa wapi ningetapa tapa
Kaondoa kutu amenitakasa
Sio siri namuita baba ananita mwana
Mie nikilia hapendi nilie, Nikumizwa ,wote wakiniacha ee anabaki namimi
Ana nibebe bebee�
Bembelee mbeleza, bembelee bembeleza,bembelee ananikumbata najisikia raha x2
see lyrics >>Similar Songs
More from KIBONGE WA YESU
Listen to KIBONGE WA YESU Ameniona MP3 song. Ameniona song from album Ameniona is released in 2023. The duration of song is 00:04:12. The song is sung by KIBONGE WA YESU.
Related Tags: Ameniona, Ameniona song, Ameniona MP3 song, Ameniona MP3, download Ameniona song, Ameniona song, Ameniona Ameniona song, Ameniona song by KIBONGE WA YESU, Ameniona song download, download Ameniona MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Dyanafrancis
❤️❤️