![Watamwitaje?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/25/eff077b769a94e74862c15416a378288_464_464.jpg)
Watamwitaje?
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Watamwitaje? - The Lighthouse Ministers Nairobi
...
Watamwitaje wasiomwamini waaminije wasiomsikia tena wamsikiaje pasipo mhubiri wahubirije wasipopelekwa kama ilivyoandikwa wakaita Jina la Bwana kisha waokoke ×2
Chorus
Mungu wa baba zetu ametuchagua, sisi tupate kujua mapenzi yake, mwenye haki akitazamwa ,sauti yake kusikiwa, tutakuwa mashahidi wake, kwa watu wote na mambo tuliyoyaona, na yote tuliyoyasikia, nitakwenda mimi niko tayari(tayari.)
Ndungu wapenzi sikilizeni, je Bwana Mungu hakuwachagua, hohe hae wa dunia wawe matajiri wa imani na warithi wa mfalme ahadi kwa wapenda habagui wajoli wake hawaita wote×2
Similar Songs
More from The Lighthouse Ministers Nairobi
Listen to The Lighthouse Ministers Nairobi Watamwitaje? MP3 song. Watamwitaje? song from album Nuru is released in 2023. The duration of song is 00:06:40. The song is sung by The Lighthouse Ministers Nairobi.
Related Tags: Watamwitaje?, Watamwitaje? song, Watamwitaje? MP3 song, Watamwitaje? MP3, download Watamwitaje? song, Watamwitaje? song, Nuru Watamwitaje? song, Watamwitaje? song by The Lighthouse Ministers Nairobi, Watamwitaje? song download, download Watamwitaje? MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Nelsitodela
Danstan Toel
An awesome singing
Crystal