Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Wimbo - Paul Clement

...

eeh Mungu wangu nisaidie nimekata Tamaa maneno ya watu yamenifanya nijione duni nijione dhaifu Lakini Neno lako lanipa nguvu yakuendelea mbele Na wakati huu nikiwa naongea nawe ni usiku sana bwana Kwa maana sioni chochote wala sina tumaini Na tena sina furaha ninasubiri asubuhi ifike haraka ili furaha irejee sababu umesema furaha yako yaja asubuhi na tena umesema furaha yako hiyo ndiyo nguvu yangu

wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa Kinywa oooh...hatakama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba aaaah siku ya kunitua mzigo mzito bwana imefika siku ya kunifuta machozi ya uchungu bwana imefika lakini yatakapo toka machozi ya furaha bwana usiyafute maana nitafurahi kuyaona yakitoka machozi pangu kwa maana ni ishara ya ushindi utokao katika mkono wako eeeeh...

Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa aaaah....

Hatakama nisinge kuwa Na kinywa bado ningeimba say... (wewe ni wimbo)


(chorus)

(Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywaaa aaah...

Hatakama nisingekuwa Na kinywa bado ningeimba aaaah....)

Similar Songs

Listen to Paul Clement Wimbo MP3 song. Wimbo song from album Amani is released in 2017. The duration of song is 00:04:34. The song is sung by Paul Clement.

Related Tags: Wimbo, Wimbo song, Wimbo MP3 song, Wimbo MP3, download Wimbo song, Wimbo song, Amani Wimbo song, Wimbo song by Paul Clement, Wimbo song download, download Wimbo MP3 song

Comments (53)

0/500

    Top Comments (2)

    Adinabuipv

    sababu umesema,furaha yako yaja asubuhi,tena umesema furaha yako ndio nguvu yangu...naisubiri Asubuhi.>

    Binti Mark

    maneno ya watu yamenifanya nijione duni, nijione dhaifu>

    New Comments53

    Jackie younger.

    wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa..hatakama nisingekua na kinywa bado ningeimba..

    benedicthshl1

    wimbo wangu wa moyo

    benedicthshl1

    kaka wewe unajua ila naomba pia sapoti yako najua kuimba nasoma kilosa agricurture school bbroo aomba sapot yako naitwa goodluck bbroo wewe unajua

    Official_mwaba

    [0x1f636][0x1f636][0x1f60e][0x1f60e]

    esterjh6sg

    wew mungu ni wimbo wangu [0x1f623][0x1f623][0x1f636][0x1f636]

    Aron kaal

    Wimbo wangu wa moyo

    Majorc1hih

    Lovely song

    denisdlema

    The lord says sing to God new songs[0x1f60e][0x1f60e][0x1f608][0x1f613]

    augustino banga

    The song of my heart

    Samuel Chinyong'ole

    let God keep using you for the nation's ...

    Samuel Chinyong'ole

    my all time best song from Paul Clement., it's touch is unique...be blessed man of God... IMAGO DEI...[0x1f607][0x1f60e][0x1f60d][0x1f623][0x1f612][0x1f603][0x1f613][0x1f608]

    StevenErasto

    This song❤️

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status