![Mambo Matano](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/17/3424d62c8c3d463d992f5dbbb4ac637c_464_464.jpg)
Mambo Matano
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mambo Matano - Lady Jaydee
...
Andazi halichagui chai ...ghafla disco likangia masai.
kumbe mwenzake nilifocus mbaali....mmh na kunifikia inataka utayari..... Si alitaka mwenyewe kutengana na mimi... hivi mwembamba ama mnene hebu semeni nyinyi.
Na zile tambo za mujini pindi yupo na mimi, saivi viatu anachanganya na vyombo natia kabatini.
Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze....mnasemaje huko yuko sawa mnielezee ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze... Moja me huwaga sina pressure.. leo sisemi sana nina mambo matano. Pili mjini sijaja kucheza...leo sisemi sana nina mambo matano... Tatu sifundishwi kupenda, leo sisemi sana nina mambo matano, Nne sirudishi mateka, leo sisemi sana nina mambo matano. Me huwaga sina pressure, leo sisemi sana nina mambo matano, Pili mjini sijaja kucheza, leo sisemi sana nina mambo matano... Tatu sifundishwi kupenda leo sisemi sana nina mambo matano... Nne sirudishi mateka...leo sisemi sana nina mambo matano. Tano moyo wangu me ni treasureee.....§§§.
Huku mwenzake naenjoy naongezeka thamani....hapa nilipo mnitoi(HAMNITOI) mana naiona amani....
Naiona fursaaaa... naiona future....nishaweka nuktaaa..Naenjoy.
Naiona true love.. naiona hubaaaa na sipotezi mudaaa.
Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee..ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze.... mnasemaje huko yuko sawa mnielezee...ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze.
Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Mambo Matano MP3 song. Mambo Matano song from album Mambo Matano is released in 2023. The duration of song is 00:03:35. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Mambo Matano, Mambo Matano song, Mambo Matano MP3 song, Mambo Matano MP3, download Mambo Matano song, Mambo Matano song, Mambo Matano Mambo Matano song, Mambo Matano song by Lady Jaydee, Mambo Matano song download, download Mambo Matano MP3 song
Comments (43)
New Comments(43)
Chris Aivan 1999
161897992
noma sana kazi nzuli komando
161897992
[0x1f641][0x1f641]
169873649
yani hili goma ni balaa jide huna bayaa unajua ddada angu❤️❤️❤️
annamayotela
goma limetulia sanaaaaa
Sengasu Tyre and Battery
Salute kwako Komandoo Jyde, mateka wakae mbali eeh[0x1f602]
Prospery90sl
mi nadhani jamaa alikuwa ndio first love wa bidada,nyimbo iko pouwa
Nantembe Libaba
Jide your the stone lady my dear big up
Mark19iad
jide
Mnawar Muddycykue
wimbo mkali sana lakini hayo unayompa mmmh
Salehe Mkundif7rcn
bado tuuu unatupa mawe,basi presha unayo,sio siri komandoo ndio unateseka mbona hujibiwi ,mara yahaya mala hivi
Magoha Enock
Powerfull song
Commandooooooo on this one[0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63f][0x1f63f]