![Saga ft. Nameless](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/02/A8/rBEeM1pjDheATyU2AADlAMj4hdI494.jpg)
Saga ft. Nameless
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Saga ft. Nameless - Jerry (KE)
...
nikikupata nitafurahiiaa,,wewe sio hawa wakunitumia mami moyo wangu wakutamania.nimechoka kuumia,na ningependa ujueee.Afadhali ujueee eeei Hizi saga za mapenzi,zimenichosha mie wangu nitamuenzi nikipata mie ,saga za mapenzi zimenichosha mie wangu nitamuenzi ,wangu nitamuenzi (saga za mapenzi). I've been around to some girls wengine wabaya kanivunja moyo but now i believe in love again ever since i saw you (ever since i saw you),ebu niskize mimi dada mambo mengi mimi sinaga mafeelings kwako mimi namwaga (yeeaah) .nawataongea watachosha wakituona si pamoja together we climbing up the ladder (yeeah) gimme this chance to show romance*2 (yeah). Hizi saga za mapenzi zimenichosha mie wangu nitamuenzi nikimpata mie ,saga za mapenzi zimenichosha mie wangu nitamuenzi wangu nitamuenzi (hizi saga za maa*3) Can't wait for you to be with me baby(baby)*4 hizi saga za mapenzi zimenichosha mie wangu nitamuenzi wangu nitamuenzi ( hizi saga za ma*5).
Similar Songs
More from Jerry (KE)
Listen to Jerry (KE) Saga ft. Nameless MP3 song. Saga ft. Nameless song from album Saga is released in 2018. The duration of song is 00:03:32. The song is sung by Jerry (KE).
Related Tags: Saga ft. Nameless, Saga ft. Nameless song, Saga ft. Nameless MP3 song, Saga ft. Nameless MP3, download Saga ft. Nameless song, Saga ft. Nameless song, Saga Saga ft. Nameless song, Saga ft. Nameless song by Jerry (KE), Saga ft. Nameless song download, download Saga ft. Nameless MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Aitanlon
Patrick Ng'enda
cool
basekab0tyl
nice
I like it