MOYO TULIA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
MOYO TULIA - The Warriors' Voices
...
Moyo unatama kuyatenda yaliyo mema lakini huu mwili wangu nidhaaifu sana kilamara najikuta chini mabaya yaja na kunizidi najitahidi niwe imara ilinitende mema
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Sote tuwadhaifu hayupo aliye kamili tunayo mapungufu mengi yatesa mioyo yetu E Bwana tunakuomba sasa utuumbie mioyo mipya mioyo yakujutia dhambi mioyo ya nyama
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake kwautukufu wakee
Similar Songs
More from The Warriors' Voices
Listen to The Warriors' Voices MOYO TULIA MP3 song. MOYO TULIA song from album MIBARAKA TELE is released in 2023. The duration of song is 00:04:36. The song is sung by The Warriors' Voices.
Related Tags: MOYO TULIA, MOYO TULIA song, MOYO TULIA MP3 song, MOYO TULIA MP3, download MOYO TULIA song, MOYO TULIA song, MIBARAKA TELE MOYO TULIA song, MOYO TULIA song by The Warriors' Voices, MOYO TULIA song download, download MOYO TULIA MP3 song