- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Moyo wako, unajutia nini
Mienendeo yako yakufadhaisha
Yote unayo yatenda
Kila unaloliwaza
Vina kusononesha
Na hatia moyoni mwako
Hatia zote Bwana
Alifuta msalabani
Hayupo mwenye deni
Deni lako limesha lipwa
see lyrics >>Similar Songs
More from The Warriors' Voices
Listen to The Warriors' Voices HATIA MP3 song. HATIA song from album MIBARAKA TELE is released in 2023. The duration of song is 00:04:17. The song is sung by The Warriors' Voices.
Related Tags: HATIA, HATIA song, HATIA MP3 song, HATIA MP3, download HATIA song, HATIA song, MIBARAKA TELE HATIA song, HATIA song by The Warriors' Voices, HATIA song download, download HATIA MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
yyyh9xuh
Elie Moses
be blessed brethren, nimesikiza zoote,, and this is my Best of best...
Mungu awainue kwa muziki safi na tulivu Tunabarikiwa nanyi