
Kelele Za Chura ft. Nandy
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Kelele Za Chura ft. Nandy - Chege
...
wasakizie humo kwenye masumu hehehehe napanda mgongo usiku mi nakula usipende kuzima taa wakati wa kula hakuna mganga wa jiko zaidi yako maa ukipika wali nazi mi nakula oooh kuhusu jikoni Hilo usijali kwani ushibapo mume mi nafurahi nachotaka mapenziiiii kwa mwengine siweziiii mmmh kwa mapenzi usijali kitandani mi hatari umefundwa Kama mwari nikuepo Sina habari (ayy yaa yaah) mchana wa jua kali tujifungie chumbani Kama kuna joto Kali tunajamvu barazani huna kasoro hata kidogo mtoto unaita eeee huna kasoro hata kidogo Kaka nakuitaaa waache waongee aleee mama usiogope mbona mi Sina wasi wasi nawe aeee mama usiogope mmmh waache waongee aeee baba usiogope kelele za chura kisimani aeee baba usiogope eeee moyoo moyo wangu moyo na wasi wasi wangu moyo nna ni wachache wanapenda wengi wanaomba Mimi nawe tuachane hao ndiyo wanapenda tufanikishe washangaeee mi nawee wazinduke nishakuwa nawee mi nawee watanuna kuwa nawee usijali Niko nawe napanda mgongo usiku mi nakula usipende kuzima taa wakati wa kula hakuna mganga wa jiko zaidi yako maa ukipika wali Nazi mi nakula ay yaa yaah huna kasoro hata kidogo mtoto unaita eeee huna kasoro hata kidogo Kaka nakuitaaa waache waongee aleee mama usiogope mbona mi Sina wasi wasi nawee aee mama usiogope waache waongee aleee baba usiogope kelele za chura kisimani aeee baba usiogope moyo moyo wangu moyo moyo na wasi wasi wangu moyo
Similar Songs
More from Chege
Listen to Chege Kelele Za Chura ft. Nandy MP3 song. Kelele Za Chura ft. Nandy song from album RunTown is released in 2017. The duration of song is 00:03:30. The song is sung by Chege.
Related Tags: Kelele Za Chura ft. Nandy, Kelele Za Chura ft. Nandy song, Kelele Za Chura ft. Nandy MP3 song, Kelele Za Chura ft. Nandy MP3, download Kelele Za Chura ft. Nandy song, Kelele Za Chura ft. Nandy song, RunTown Kelele Za Chura ft. Nandy song, Kelele Za Chura ft. Nandy song by Chege, Kelele Za Chura ft. Nandy song download, download Kelele Za Chura ft. Nandy MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
176501964
Asha fkr
[0x1f619][0x1f619][0x1f621]
Usuman Ezana
hahahaha [0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604] kazi kabisa
Deleted User
It was a good song, but now I realize the quality of sound was not so good. So, a remix or an update of this song is needed.
olivaaf7kw
good
winnie urasa
nice songs
Reuben Mhamilawa
dance weeee
Abbas Mohamedccpod
usipende kuzima taa wakati wakula....konki sana
❤️❤️