Taa Ya Miguu Yangu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Taa Ya Miguu Yangu - Nancy Hebron
...
Mwokozi Yesu taa ya miguu yangu, yeye ni baba taa ya Miguu yangu, yeye ni Mungu, taa ya miguu yangu.
Wacha ni kweleze juu ya ukombozi wangu anaitwa Yesu ndie mwana wa Mungu aliniita siku nyingi ikumwelewa, sikuelewa sauti yake baba. nilipoteza muda mwingi kwa shetani lakini Yesu kanitoa kule kuzimu nakuningazia na nuru yake, namtukuza yeye nimepata Yesu wa kweli.
Mwokozi Yesu taa ya Miguu yangu mwokozi Yesu taa ya miguu yangu yeye ni baba taa ya miguu yangu, yeye ni Mungu taa ya miguu yangu ×2.
Amenitoa kwenye mateso mengi, amenitoa kwenye gareza la dhambi amenifuta jina langu kwenye hukumu nakuliandika kati ya wenye haki. bila makosa katoa uhai wake, alinifia ilinitengwe na shetani kupitia wokovu wake Yesu wa kweli.
Mwokozi Yesu taa ya miguu yangu yeye ni baba taa ya miguu yangu ×2.
see lyrics >>
Similar Songs
More from Nancy Hebron
Listen to Nancy Hebron Taa Ya Miguu Yangu MP3 song. Taa Ya Miguu Yangu song from album Taa Ya Miguu Yangu is released in 2017. The duration of song is 00:04:54. The song is sung by Nancy Hebron.
Related Tags: Taa Ya Miguu Yangu, Taa Ya Miguu Yangu song, Taa Ya Miguu Yangu MP3 song, Taa Ya Miguu Yangu MP3, download Taa Ya Miguu Yangu song, Taa Ya Miguu Yangu song, Taa Ya Miguu Yangu Taa Ya Miguu Yangu song, Taa Ya Miguu Yangu song by Nancy Hebron, Taa Ya Miguu Yangu song download, download Taa Ya Miguu Yangu MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
peter m emali
199/
@Daudi Kanyasjy:
Enoo Msito
well done aqy
Karem Konu Komu
nice one my
Jennyfer susan
wonderful[0x1f618]
Daudi Kanyasu
ubarikiwa mama
von Kayp
gud
France De John66
nzuri
Faraja Mayemba
[0x1f600]
Jacquielynn Lyimo
this is my favorite song....ui
Alfred Haruwa
gooood cn mwang
Buonaventura
[0x1f623]
lyric