
Sala Yangu Na Ipae
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sala Yangu Na Ipae - Rajo Productions
...
Sala yangu ipae mbele yako Bwana * 2
{ Kama moshi wa ubani altareni,
Na kuinuliwa kwa mikono yangu
Iwe kama sadaka, sadaka ya jioni } * 2
Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu,
Pamoja na maisha ya kila siku.
Uwe radhi kuipokea sadaka yetu,
Kama zile za mababu wa zamani.
Hivyo sadaka ifane mbele zako Bwana,
Na iwe sadaka ya shukrani kubwa.
see lyrics >>Similar Songs
More from Rajo Productions
Listen to Rajo Productions Sala Yangu Na Ipae MP3 song. Sala Yangu Na Ipae song from album Sala Yangu Na Ipae is released in 2023. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Rajo Productions.
Related Tags: Sala Yangu Na Ipae, Sala Yangu Na Ipae song, Sala Yangu Na Ipae MP3 song, Sala Yangu Na Ipae MP3, download Sala Yangu Na Ipae song, Sala Yangu Na Ipae song, Sala Yangu Na Ipae Sala Yangu Na Ipae song, Sala Yangu Na Ipae song by Rajo Productions, Sala Yangu Na Ipae song download, download Sala Yangu Na Ipae MP3 song