Step by Step
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Step by Step - Guardian Angel
...
tamusanose gola oyonse ya oyakiss well present now we done east africa finest namba one talking like we are the one jimana gwangzo and here we are the one jusus we represent him like we are the one nilitoka nyumbani nikaja kwa mjini kutafuta mjomba maisha ni ngumu kule mashambani imekua ni noma nitaftie kazi angalau hapa mjini nlishindwa kusoma natafuta riziki kwa hamu kila kona juakali inachoma nlipofka mjini nlipata watu wengi sana weee nani atanisaidia nioneshe njiaaa nlipotoka nyumbani sikujua wapi nenda banaa weee eeeh nani atanisaidia nionyeshe njiaa nliskia sauti toka kwa nani ii nko na wwe niko na wwe eeeiiye nkatega sikio nkaskiza kwa makini nko na wwe niko na wewe ooohhhh popote unapokwenda nakwenda na wwe eeeh step by step step by step mimi nawe step by step popote unapokwenda naenda na wewe eeehh step by step step by step mimi nawe step by step ni wewe yesu mi nimebaki nawewe niko na wewe ooohhhyeah ni wewe yesu mi nimebaki na wewe niko na wewe oohhyeah nijambo imesalia inaleta mambo kwanza mwanzo naja kwa kazi kukupa wimbo mchezo kwa kazi naweka kando naja sasa kwa vishindo wote nliotegemea walinipa mgongo kunisema mambo ya aibu tena ya uwongo visikitiko moyoni naweka kando vyote na vyapa kisogo nilisikia sauti kutoka kwa nani niko na wewe niko na wewe eeehh nikatega sikio nkaskiza kwa makini niko na wewe niko na wewe oooohh popote unapokwenda nakwe na wewe eee step by step step by step mimi nawe step by step popote unapokwenda nakwenda na wewe step by step step by step mimi nawe step by step ni wewe yesu mi nimebaki na weweee niko na wewe oooohh niwewe yesu mi nimebaki na wewe niko na wewe oooohhh aa
Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Step by Step MP3 song. Step by Step song from album Yule Yule is released in 2017. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Step by Step, Step by Step song, Step by Step MP3 song, Step by Step MP3, download Step by Step song, Step by Step song, Yule Yule Step by Step song, Step by Step song by Guardian Angel, Step by Step song download, download Step by Step MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
Mariko 4mx80
130954156
i love your songs
fredrick musunguefutj
moto guadian
Naomi Mukamihhwf9
that song make me to feel like am in heaven
simongx04s
[0x1f623][0x1f612][0x1f60e]
2maliver
[0x1f623][0x1f623]
Bolton Kipkirui
iam in love with this one[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]
ⓟⓐⓢⓒⓗⓐⓛ ⓚⓘⓝⓘ
[0x1f612][0x1f612][0x1f612][0x1f612][0x1f612][0x1f608][0x1f608][0x1f608][0x1f608][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621]
Lavender Agutu
[0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63f]
roza reedybs3
nice one....i really like your songs
raylanda
so real[0x1f61b][0x1f61b]
Celinah Edwards
m
chi man a gwan suh