![Nimezama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/21/311319a822114e4d898073d2c7fbd3d5_464_464.jpg)
Nimezama
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimezama - Udi
...
tahabani baby wanikosha mwenzio amekufunda nan mweredi usaliti auna salio achaniwe sharukhan wa kienyeji nikung'ate sikioo vulugu kitandani ooh baby umesimama ufagioo ( penzi letu lina pattern mahasidi mkae mbali mshinde kwa waganga nazi vunjeni simuachi niko ngangarii ) mahaba yamefumuka fumu fumu nafsi inachekelea kina chamapenzi tahabani ooh naogerea Ooh baby hivi unanipenda mimi nataka nijue je umenipendea nini. ooh baby hivi unanipenda mimi sio nijishebedue kutwa kukupost mimi nimezama nimezama nimezama kwenye huba lako nimezama nimezama kwenye huba lako nikipepesa ongeza ving'ora miuno konkii yakutoa kombola na ikiisha pesa tutamuomba mora atupe furus ubadili vijora me samaki majichumvi ubaridi siwezi sishindani na mvuvi turia tulienzi penzi me ndo dishi wewe king'amuzi pekeangu siwezi sina ubishi we ndo muamuzi kwenye yetu mapenzi ooh baby hivi unanipenda mimi nataka nijue je umenipendea nini ooh baby hivi unanipenda mimi sio nijishebedue kutwa kukupost mimi nimezama nimezama nimezama kwenye huba lako nimezama nimezama kwenye huba lako
Similar Songs
More from Udi
Listen to Udi Nimezama MP3 song. Nimezama song from album Nimezama is released in 2022. The duration of song is 00:03:21. The song is sung by Udi.
Related Tags: Nimezama, Nimezama song, Nimezama MP3 song, Nimezama MP3, download Nimezama song, Nimezama song, Nimezama Nimezama song, Nimezama song by Udi, Nimezama song download, download Nimezama MP3 song