- Genre:Trap
- Year of Release:2023
Lyrics
Life Imechange Now ,
Na Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Tutakuweka Benchi Down ,
And Its My Time The Talk Of The Town Joh Maker Natrend Now ,Nacock It Nashoot Ma Haters Kill Dem Priii Baoo! Priii Baoo! Can You Feel Dat AAH !,
Wale Waliokwambia Mi Nimeacha Kuchana Walikuongopea , Ni sawa zikipiga Simba Na Yanga Watu Wasiimbe Kidedea , Maisha Nliyoishi Ukiniita wa Kishua Nabaki Tu Nakuchekea , Na Ukija na Umbea Mi Naplay Fair Ukiondoka Ndio Basi Nakupotezea, Kuna Tofauti Kati Ya We na Mimi! Kuna wewe Alafu Kuna Mimi, Wamenuna Maana Kumeshindikana Kureplace Wao Kuwa Mimi, Muda wa Kuwakanya Maana Hakuna Mwana Ambaye Anaweza Fanya Kama Mimi, Wanajua Maker Nimeshindikana Niko Juu Saana Wako Chini ,Damn! Oh My God Tell Dem Danger , Scary Story Unaemjua Amegeuka Stranger ,Ukisnitch Nkijua Alafu Ulikua Mwana Utafute Savior ,Maana We Sio Tena Mwana Tushapunguzana We Ni Kinega ,Mwanaume Hasifiwi Kununa Hasifiwi Kuringa Hasifiwi Kususa ,Mwanamke Akitaka Matunzo Apewe Na Atengenezwe Mpaka Kucha ,Usipende Kitanda Nchi Imeshauzwa Amka Mwana Kumekucha ,Na Hiki Ndio Kile Kizazi Cha Family Matter Kusolviwa Insta ,Sio Kupelekana Puta Kama Muda Unakwenda Tunajua ,Kama Bado Sina Pesa Utahaibika Utaposema Unanijua ,Siwezi Sahau Kilichonileta Mjini Am a thinker am a Dower, Na Hakuna Raha Kwenye Huu Umaskini Tunajiliwaza Tunajua ,Mkitaka Kunipima Mje Wengi Mmoja Hatoniweza ,Maana Mi Kushindwaga Siwezi Unajichongea Jeneza ,Na Akili Nyingi Na Najua Huwezi Shindana Na Ulikotoka ,Na Tangu Ubadilike Hawakuiti Mwana Tena Wanakuita Mwanamboka ,Nakumbuka Nilipost Na Kusema Na Mtoto ,Usije Ukajizulia Mikosi Mbona Simpost Wako ,Maswali Makubwa Majibu Hayatoshi We Mwenyewe Unamacho ,Na Ukitaka Kumjua Baba Wa Mtoto Muulize Mamaako ,
Au Hujaipenda Iyoo
Wakiuliza Waambie Natokea Moro
Similar Songs
Listen to Joh Maker Jogoo MP3 song. Jogoo song from album Jogoo is released in 2023. The duration of song is 00:02:44. The song is sung by Joh Maker.
Related Tags: Jogoo, Jogoo song, Jogoo MP3 song, Jogoo MP3, download Jogoo song, Jogoo song, Jogoo Jogoo song, Jogoo song by Joh Maker, Jogoo song download, download Jogoo MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
rogath townkid
unyamaaa