
Usikate Tamaa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Usikate Tamaa - Catholic Church Songs
...
chorus:
usikate tamaa kuamini Mungu matatizo yako yasikupotose Mungu weka Imani yako wakati wa shida x2.
a).Mungu ana kusudio na maisha yako. makusudio Bora X3.
kuliko mateso unayotesheka
b).usihahithirike na shughuli za waganga. muombe Mungu X3.
kwa jina la Yesu atakusaidia.
c).hapa duniani sote tu wasafiri .
ujitahidi sana X2.
ujitahidi tufike tulipo ahahidiwa kwenye Raha milele.
written by Norald Lekolo.
Similar Songs
More from Catholic Church Songs
Listen to Catholic Church Songs Usikate Tamaa MP3 song. Usikate Tamaa song from album TWAKUKIMBILIA MARIA is released in 2023. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Catholic Church Songs.
Related Tags: Usikate Tamaa, Usikate Tamaa song, Usikate Tamaa MP3 song, Usikate Tamaa MP3, download Usikate Tamaa song, Usikate Tamaa song, TWAKUKIMBILIA MARIA Usikate Tamaa song, Usikate Tamaa song by Catholic Church Songs, Usikate Tamaa song download, download Usikate Tamaa MP3 song