![Kishindo Cha Wakoma](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/01/4be9b9423feb4c58a06d457d16db8494_464_464.jpg)
Kishindo Cha Wakoma
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kishindo Cha Wakoma - Best SDA Music
...
Kishindo cha Wakoma
Kiliwakimbiza washami x 2
Chorus
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu x2
Njaa ilipo wakabili wenye ukoma waliotengwa, wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa ni bora twende kambi la Washami x 2
Ni maadui zetu siku zote twendeni tuombe chakula na tena huenda tukauwawa lakini bora twende kambi la Washami x2
Walipokaribia kambi la Washami,
eeeeh
Washami wakasikia kishindo cha magari, kishindo cha magari ya Waisrael na kumbe zilikua nyayo za wakoma zilizojawa uwezo wa Mungu x2
Similar Songs
More from Best SDA Music
Listen to Best SDA Music Kishindo Cha Wakoma MP3 song. Kishindo Cha Wakoma song from album Best SDA Old Tunes Throwback Songs is released in 2023. The duration of song is 00:06:31. The song is sung by Best SDA Music.
Related Tags: Kishindo Cha Wakoma, Kishindo Cha Wakoma song, Kishindo Cha Wakoma MP3 song, Kishindo Cha Wakoma MP3, download Kishindo Cha Wakoma song, Kishindo Cha Wakoma song, Best SDA Old Tunes Throwback Songs Kishindo Cha Wakoma song, Kishindo Cha Wakoma song by Best SDA Music, Kishindo Cha Wakoma song download, download Kishindo Cha Wakoma MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Ojowi Ronald
0782078488
fantastic
Apewe sifa Mwenyezi✋✋