![Tumo Kwenye Safari](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/01/4be9b9423feb4c58a06d457d16db8494_464_464.jpg)
Tumo Kwenye Safari
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tumo Kwenye Safari - Best SDA Music
...
Tumo kwenye safari ya kuenda mbingu, safari ya wazee wa imani walipita, walisafiri salama wakiwa na upendo na mali zao zote walimkabithi mungu.
Ndugu! safiri salama, safiri salama, katika safari yako ya mwendo wa imani. Uwe na hakika na matumaini yako, usije ukapoteza nasafi ya bure.
Tumo kwenye safari ya kuwenda kwa baba hatutaweza kusita sita kwenye safari tuna mifano mingi ya kuweza kujifunza, yaliyowapa ushindi wazee wa imani.
Ndugu! safiri salama, safiri salama, katika safari yako ya mwendo wa imani. Uwe na hakika na matumaini yako, usije ukapoteza nasafi ya bure.
Tumo kwenye safari, ya kwenda kwa baba ibrahimu, ayubu, yoshua naye musa, na waeliya, danieli paulo na yohana sasa wanapumzika wakingojea imani.
Ndugu! safiri salama, safiri salama, katika safari yako ya mwendo wa imani. Uwe na hakika na matumaini yako, usije ukapoteza nasafi ya bure.
Similar Songs
More from Best SDA Music
Listen to Best SDA Music Tumo Kwenye Safari MP3 song. Tumo Kwenye Safari song from album Best SDA Old Tunes Throwback Songs is released in 2023. The duration of song is 00:05:52. The song is sung by Best SDA Music.
Related Tags: Tumo Kwenye Safari, Tumo Kwenye Safari song, Tumo Kwenye Safari MP3 song, Tumo Kwenye Safari MP3, download Tumo Kwenye Safari song, Tumo Kwenye Safari song, Best SDA Old Tunes Throwback Songs Tumo Kwenye Safari song, Tumo Kwenye Safari song by Best SDA Music, Tumo Kwenye Safari song download, download Tumo Kwenye Safari MP3 song