Fikra Tulivu
- Genre:Trap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nafanya vile wasivyofanya vile vile,
Nafanya vile wasivyozoea vile vile,
Nafanya tofauti mmh!! tofauti,
Nafanya nje ya box mie vile,
Niko mbali nigger niko na safari,
Usinifuate mpuuzi huku niliko ni hatari,
Huku niliko ujinga haukumbatiwi,
Huku niliko uoga haupigwi kiwi,
Huku niliko fikra zetu ziko huru na nuru ya kuuvusha umati,
Kuulisha umma juu ya mawe kuupa shati koo la Big au Pack,
Ubunifu kwetu nguzo kuu huku niliko,
see lyrics >>Similar Songs
More from DieNo
Listen to DieNo Fikra Tulivu MP3 song. Fikra Tulivu song from album HATUA is released in 2023. The duration of song is 00:03:28. The song is sung by DieNo.
Related Tags: Fikra Tulivu, Fikra Tulivu song, Fikra Tulivu MP3 song, Fikra Tulivu MP3, download Fikra Tulivu song, Fikra Tulivu song, HATUA Fikra Tulivu song, Fikra Tulivu song by DieNo, Fikra Tulivu song download, download Fikra Tulivu MP3 song