Siondoki
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Neno lako ndio mwanga wangu
Taa ya miguuyangu
Eeeh we bwana
We kimbilio nikiwa sina Wa kunishika nikiwa Ninatanga ngome yangu
Wewe ni mpenzi nikiwa Sina pa kulilia we Wanikumbatia eeeh we Baba nina amani Sina Shaka Wewe ni mungu unajibu Kwa wakati peke yako
Bila uwepo wako siondoki
Usipotangulia siondoki
Bila wewe bwana eeeeh we Yesu siondoki mimi
Siondoki mbele zako
see lyrics >>Similar Songs
More from Emmanuel Mulo
Listen to Emmanuel Mulo Siondoki MP3 song. Siondoki song from album Siondoki is released in 2023. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Emmanuel Mulo.
Related Tags: Siondoki, Siondoki song, Siondoki MP3 song, Siondoki MP3, download Siondoki song, Siondoki song, Siondoki Siondoki song, Siondoki song by Emmanuel Mulo, Siondoki song download, download Siondoki MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Emmanuel Mulo1
Crepin s0vao
Can we please have the Lyrics
Now ready bro