![Mama Yangu Ndio Baba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/09/cd04ae130cd744f8aa1eb587c6fb9ee0_464_464.jpg)
Mama Yangu Ndio Baba
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Ameamka asubuhi nguo kanivalisha
Vijisenti vya jana alivyochanga vya vikoba
Nauli ndo kanipa
"Baba ameenda kazini leo tena haumuoni"
Heri abebe nawe mpende
Mjaze na faraja uso
Mimi mwanae anipa funzo
Ili niwe mpenzi wako
Nampenda mfano hana mungu baba mbariki
Mama yangu ndiye nguzo aliye na thamani
Baba kaingia mitini mimi nimekosa nafasi
see lyrics >>Similar Songs
More from Taariq Maddox
Listen to Taariq Maddox Mama Yangu Ndio Baba MP3 song. Mama Yangu Ndio Baba song from album Mama Yangu Ndio Baba is released in 2023. The duration of song is 00:04:20. The song is sung by Taariq Maddox.
Related Tags: Mama Yangu Ndio Baba, Mama Yangu Ndio Baba song, Mama Yangu Ndio Baba MP3 song, Mama Yangu Ndio Baba MP3, download Mama Yangu Ndio Baba song, Mama Yangu Ndio Baba song, Mama Yangu Ndio Baba Mama Yangu Ndio Baba song, Mama Yangu Ndio Baba song by Taariq Maddox, Mama Yangu Ndio Baba song download, download Mama Yangu Ndio Baba MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Taariq Maddox
hongera sana.... wimbo huu nimeusikia kupitia mdogo wangu David Elias ...valuer mpya mjini na Bukoba yote
ben fxfp4
hongera sana.... wimbo huu nimeusikia kupitia mdogo wangu David Elias ...valuer mpya mjini na Bukoba yote
Richard Kayumbo
Hongera sana kaka kwa wimbo mzuri sana. Mungu akubariki na akuongoze ili ufanikiwe zaidi.
Aloyce Andy
keep it up....the song is very nice❤️
asante sana