Diamond platnumz (Zuwena)
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Diamond platnumz (Zuwena) - pittyBoy
...
habari gani kaka
naamini unaniskia
mi mzima wa afya
mama Mungu anasaidia
toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
Bibi presha presha nae alatangulia
bado twakuombea ulale salama pema
japo moyoni nina dukuduku natamani kusema niseme eeh
zile mali ulizousia ulizotuusia tuligawa salama
Zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama ila Zuwena kaka amebadilika Sana yani shem lake bi zuu wa Leo sio yule wa Jana
see lyrics >>Similar Songs
More from pittyBoy
Listen to pittyBoy Diamond platnumz (Zuwena) MP3 song. Diamond platnumz (Zuwena) song from album I Love you is released in 2023. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by pittyBoy.
Related Tags: Diamond platnumz (Zuwena), Diamond platnumz (Zuwena) song, Diamond platnumz (Zuwena) MP3 song, Diamond platnumz (Zuwena) MP3, download Diamond platnumz (Zuwena) song, Diamond platnumz (Zuwena) song, I Love you Diamond platnumz (Zuwena) song, Diamond platnumz (Zuwena) song by pittyBoy, Diamond platnumz (Zuwena) song download, download Diamond platnumz (Zuwena) MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
brodaharry
Margie bettie
l like it
karani jrë
nice
wanjikua9op7
wowwwww
latifab1vyi
nice
fetyliner willy
wow!
Peterax7lp
Interesting
Why are using someone’s name to make name