- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Hemani - Paul Clement
...
Paul Clement _Hemani Lyrics by Ajwang Pauline Nimelifanya ulioniambia nijenge hema ya kukutania si mimi na watu bali mimi na we ,ili tuzungumze tuonge Nimelifanya ulioniambia hema yetu ni iweke mbali simbali na wewe wali mbali na watu ,ili tuzungumze ,tuonge Nasadaka ya dhambi limeshatolewa ,ametoa yesu kuwa ni mpataNishi wa mimi na wewe ili tuzungumze, tuonge Wingu lako nimeshatànda m ,mlangoni mwa hema yetu, nachosubiri wewe useme, uonge na moyo wangu hemani,tuonge.. hemani mwako, tuzungumze *(4) sema ,sema ,sema nami bwana bwana sema ,tuonge ,mimi na wewe Anasema njoo tusemezane , anasema .
Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Hemani MP3 song. Hemani song from album Hemani is released in 2023. The duration of song is 00:13:24. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Hemani, Hemani song, Hemani MP3 song, Hemani MP3, download Hemani song, Hemani song, Hemani Hemani song, Hemani song by Paul Clement, Hemani song download, download Hemani MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Honest Gasper
Joyce Denis
Wingu lako limeshatanda mlangoni mwa hemani... .. my fav song
Metha osu7q
My best song 2024
dorycas o6ti8
yan Mungu akubarik sana bro paul yan hii nikisikia inanirudisha kabisa uwepon mwa Bwana na ata km kuna kit nimekosea naenda ongea na BABA kupitia nyimbo hii [0x1f653]au kuna kit nimeomba nasubir majibu yak bas nitaisikiliza hii na siwez vumilia yan namuona Mungu ananishukia kabisa Amen ubarikiwe mno tunachoitaj binadamu tukisikia nyimb za ujumbe wa Mungu zituguse kama ivi Mung anashuka moja kwa mojaa Mung akuongeze akuongezeee mbeleee akujazie uduma yakooo ikue mileleee shuklan ziende kwa wazaz waliokulea nakulinda malezi mpka iko kipawa kimeonekana mbele zetuuu YESU akutetee sehemu yoyote uendapo [0x1f653][0x1f60e]
bina#ilumva
Hemani mwako Bwana tuongee....tuzungumze....[0x1f638]
Caroline Apolinary dkply
[0x1f623][0x1f623]
prosper vanc
hemani mwako tuone amina
hellen2ls6y
amen kaka
toshabvjt7
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
104014454
Wimbo bora.. Jina lake litukuzwe milele aliye tupa Uhai
Renato Riziki
[0x1f607]
Hakika kuna jambo Mungu anafanya
Amen