![Habari Ya Mjini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/48e2c69b0d8147db8657de1b3657a13b_464_464.jpg)
Habari Ya Mjini
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Habari Ya Mjini - Lady Jaydee
...
Zile zama za chigombana kuzozana pambana
Zimepita tumeshibana jifunza sameheana
Kwa maex nimejifunza kua single si atama
Nakupenda sioni kosa naserenda sina namna
Ninayodhamana kukuhadithia lolote linalojibuu
Pia ninayokalama nishakuangalia ni wewe uliekaribuu
Sina haya na penzi lako asubuh adhuhuri
Penzi lifunike na kawa inzi wasije ndani
Sina baya na penzi lako ata ije tufani
Kwani tufike ata na ngarawa dhuruba hatuioni
see lyrics >>Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Habari Ya Mjini MP3 song. Habari Ya Mjini song from album Love Sentence is released in 2023. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Habari Ya Mjini, Habari Ya Mjini song, Habari Ya Mjini MP3 song, Habari Ya Mjini MP3, download Habari Ya Mjini song, Habari Ya Mjini song, Love Sentence Habari Ya Mjini song, Habari Ya Mjini song by Lady Jaydee, Habari Ya Mjini song download, download Habari Ya Mjini MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
king vega
king vega
kubali
unajua sisi wet