Ngarenaro
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ngarenaro - Dogo Janja
...
Kwanza mungu bless baby face Umenitoa stress weeee ni kwanda LA mosii tupite moshiiii Tukatoe mikosi wee. Ooohh mamaaa Nahisi nimetimiza ndoto kukupata ubavu wa kushoto Chuga baridi we nipe joto chumbani tukitafuta watoto Nahisi kama naotaa EE moyo wangu unaogopa EE Nahisi kama unaongopa eee mama usije ukaondoka eeee Nikupeleke ngarenaro ooohh ohhh
Mamaa kwa mama yake janjaro ohhhh ooh mama
Nikupeleke ngarenaro ohhhh oohhh mama Tukapande Kilimanjaro ohhh oohh mamaa Usisikilize mboyoyo za hawa maboya wanaosema namtamani uwoya No murder case nakwomba nikuite loya unitetee nisiende kula soya Pombe na gun your number one unanipaga mpaka mambo ya uwani Karibu kitaani nshanunua gun tunachane shuka kama namba mashambani Wengi wanadai nyuma umezilila najiita Samson na wewe jiite Delila Tizama usoni why unahasira acha na Ma jeans nenda uvae maderaa ahhhh ayy Pombe na gun your number one unanipaga mpaka mambo ya uwani
Karibu kitaani nshanunua gun
Tuchane shuka kama namba mashambani yoooooo Nikupeleke ngarenaro ooh ohhh ohh mama Kwa mama yake janjaro ohhh ohhh ohh mama Nikupeleke ngarenaro ohhh ohh mama Tukapande Kilimanjaro ohhh ohh ohhhh mama Pombe na gun hahhaahhah Oohhh time for you baby hahah Pombe na gun bad man ting mameloo hahahha Yeah bad man in da beloved yooooo
lyrics by Mushinski... number 66
Similar Songs
More from Dogo Janja
Listen to Dogo Janja Ngarenaro MP3 song. Ngarenaro song from album Ngarenaro is released in 2017. The duration of song is 00:03:11. The song is sung by Dogo Janja.
Related Tags: Ngarenaro, Ngarenaro song, Ngarenaro MP3 song, Ngarenaro MP3, download Ngarenaro song, Ngarenaro song, Ngarenaro Ngarenaro song, Ngarenaro song by Dogo Janja, Ngarenaro song download, download Ngarenaro MP3 song
Comments (21)
New Comments(21)
xhadoh
Baby face. some years now but the song still is in my memory
xhadoh
parefuuuu
Ashyboy madrazo
nakubali sana hii ngoma
Manuel Gonzalezz.
Mt meru
izack Daudi
tej pari
joel Luoga
bloo heshima kwako kwan xo m2 wa kujilinganixha xo mungu anaiona kazi yako
joel Luoga
uachie ngoma usiachie auchuji kaka
Majam creed
rekera ngoma ayi tumware vosi mwanamaka
Julius h3h26
Kaz kaz
i love the song it makes me more happy [0x1f604]
Richard Joanesi
nakukubali dogo vp mbon xikuizi uwachingoma
mudy nandy
mambo mengi dogo janja
janjaro