Siwezi
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Siwezi - Feza
...
Siwezi kuliwa mi sio easy
Yani kwa chipsi zako buku jero unataka unikule kweli (siwezi kuliwa)
Kavocha unatuma kajero na bado unataka unikule kweli (siwezi kuliwa)
Yamatumizi unanionga afutatu mi navaa ununui ata kiatu
Ulipo kodi hupo hupo tu unafoka unanijia juu
Eti na wewe umekuja na ranger unadhani nitaingia unikule (siwezi kuliwa)
Asa na wewe nimekusindikiza imekua sababu unikule (siwezi kuliwa)
Siwezi kuliwa mi sio easy
Siwezi kuliwa
Siwezi kuliwa
see lyrics >>Similar Songs
More from Feza
Listen to Feza Siwezi MP3 song. Siwezi song from album Siwezi is released in 2023. The duration of song is 00:02:26. The song is sung by Feza.
Related Tags: Siwezi, Siwezi song, Siwezi MP3 song, Siwezi MP3, download Siwezi song, Siwezi song, Siwezi Siwezi song, Siwezi song by Feza, Siwezi song download, download Siwezi MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Yusla Elias
odetah Rwaibale
sooooo sweetie
toshabvjt7
feza kessy [0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
♥️[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]