Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias)
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) - Sany boy
...
? Molah kamjalia uzuri Hana misuli Toto laini laini Tena anaijua shughuli chumbani nguli kwingine nitake Nini! nimekachomoa dongobesh Tena Kwa Mahari iliyo cash chumbani timbwili mada kesi tukikutanishaga majesh! nitakupenda leoo mpaka kesho akhera na misifa kibaoo Yani mwendo wa kuwa kera. chorus penzi Lako Tamu haliniishii hamu penzi Lako Tamu taamu! haliniishii hamu x2 ? verse 2 baby me ndio nimeshakuelewa baby me ndio nimeshakuelewa send a location I want to follow you 'follow you' sio gaidi na sio katili na ndiyo maana nakupendaa nitunzie heshima yangu kilasiku tunafanananaa two heart too fine nananaa really love I give you to night I never lie an till Day and night nitakupenda leoo mpaka kesho akhera na misifa kibaoo yaani mwendo wa kuwa kera chorus penzi Lako Tamu haliniishii hamu penzi Lako Tamu taamu! haliniishii hamu x2 ? Hip hop intro chocolate color Yani beauty beauty nyuma umefunga Hilo Buti buti na wanaulizana umenipa kipi Wala siwajibu baby na wa sheet na Sema kipe unachotaka baby Wala usiogope wapi unapo taka twende baby tuondoke ooh Baby tunapendana kinyama nyama mpaka twafanana nikupeleke mpaka mkalama ukamwone mama! na misifa kibaoo Yani mwendo wa kuwa kera chorus penzi Lako Tamu haliniishii hamu penzi Lako Tamu taamu! haliniishii hamu x2 ?
Similar Songs
More from Sany boy
Listen to Sany boy Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) MP3 song. Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song from album Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) is released in 2023. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Sany boy.
Related Tags: Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias), Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) MP3 song, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) MP3, download Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song by Sany boy, Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) song download, download Penzi lako Tamu (feat. Jonas helias) MP3 song