Shem ake
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Shem ake - Maby
...
..... mabby boy Hawa mashem Shem Shem wauwawe mashemej wote wapigwe mawe mashemj wote wachomwe moto maana wanafiki sanaa utasikia shemj ooh shemj aah ebwan ndg yet si anakupenda shemj ooh shemj aah ebwana ndug yet kwak kasarenda kumbe waongo mko kama mia nane wanasubiri mkutane mgombane matusi mtupiane nyie mashem Shem darling mashem Shem ake mashem Shem darling mbinguni mtapaskia ooh Yaa yaaa mashem Shem ake mashem Shem darling mbinguni mtapaskia ooh Yaa yaaa Kuna hao mashemj hutongoza mashem zao bila uoga utasikia Shem Shem anazima taa mashem Shem Shem kwel ni balaa ayaa yaah tusije kuonana wabaya kwa shemej zenu mue na hayaa inabid mji tu li ze kumbe mko ka mia nane wanasubiri mkutane mgombane matusi mtupiane ooh ooh nyie mashem Shem darling nyie mashem Shem ake mashem Shem darling mbinguni mtapaskia
Similar Songs
More from Maby
Listen to Maby Shem ake MP3 song. Shem ake song from album Shem ake is released in 2023. The duration of song is 00:01:57. The song is sung by Maby.
Related Tags: Shem ake, Shem ake song, Shem ake MP3 song, Shem ake MP3, download Shem ake song, Shem ake song, Shem ake Shem ake song, Shem ake song by Maby, Shem ake song download, download Shem ake MP3 song
Comments (32)
Top Comments (1)
deno banton
New Comments(32)
rashid95i7h
unajuaaah[0x1f630][0x1f630][0x1f628][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Swaum Abrahaman
nice
Pragatjud2b
Sawaaaaaaa
Mohammed ntandu
kazi nzurii mashem mna kazi jamn
annaneema783oh
[0x1f614]
tifaa8mjm6
nice inabamba
Itsemmanuelucas
mabyofficial ni mmoja tuu,,, keep it bro
Suzy mhp
nice
Shammie Minde
unyamaaaa sanaaaa
mariamex1dt
mashem shem
Respect
sauti nzuri nipeeni likes jamani>